Wanaume wenzangu hawa mafirstlady wetu wanahitaji mda na attention kwa wakat ambao uko nae karibu kaa nae karibu kimwili na kiakili utoe huo mda sadaka kwa ajili yake acha kua bze sjui na simu, tv sjui na vitu gn uwe unamconcentrate yy tu... Ukimsifia mkipiga story tofaut za maisha na mapenz yenu yalivyo... Mkiishi hv hamna siku atakuja akuletee pozi za ajabu ajabu!!!
Lakn sasa tunajifanya tuko bzeee, bze for nothing huna mda nae yaaan unasubir mpaka shahawa zikujae ndio unakumbuka kama una mke, lazma akuletee poz tuu!
Ukjfanya uko bze na mishe zako anakuangalia tu kama hakuon vile lkn kwny akili yake mwenyew anajua atakukomeshea wap.. Kama huwez kukaa nae karibu kwa namna yoyte nyngne zaid ya kugegedana tuuuu.. Ndg yng utakua umeoa mke asie wako