Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,922
- 4,027
Amegusa masirahi yako ?Mbinu yako nimeielewa sana,, ila hizo bamia na bamia kubwa ulizijuaje?
hongera sana...Ndiyo
Cha nje kitamu, ushapika ubwabwa ila ukaona wa jirani aliopika mate yakakutoka angali umeshiba? Ndivyo mapenzi yalivyoSikuwahi ndiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna anaemjua mzinzi zaidi ya mzinzi mwenzake [emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Watu mmepinda duuuu[emoji23]Hakuna anaemjua mzinzi zaidi ya mzinzi mwenzake [emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kwa hiyo kwenye hiyo ndoa yako hivyo vyote vipo? Yaani matango, mihogo, karoti, Kibamia, bamia kubwa na ndogo, dahh CV yako imeshiba sana hongeraNashiriki lkn ndani ya ndoa