kama unashindwa kujizuia sasa utahindwa kujizuia baadae na utakuwa mchezo wako hata ukioa,ikitokea mkeo yupo kwenye maradhi au ametoka kujifungua umesema madem wa mtaani walaini,maharage ya mbeya hayo maji mara moja ushauri wangu usiyatumie by the way unaharibu c.v yako na pia unajitafutia risk ya maradhi.