Tender ya kusupply nyama ya nguruwe

mand1312

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
12
Reaction score
2
Habari ,kuna tender ya kusupply nyama ya nguruwe 300kg kila baada ya 2days at price 4500/kg moshi kilimanjaro

Mtu yeyote mwenye uwezo kusupply kiasi icho au atleast 100kg anifwate pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…