said rashid JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 203 Reaction score 113 Aug 4, 2013 #1 Natafuta photocopy machine ambayo ni used, iliyo katika hali nzuri na bei nafuu kabisa. Kwa mwenye nayo au taarifa ya kuniwezesha kuipata tuwasiliane kupitia JF au +255 659 528 724. Natanguliza shukrani!
Natafuta photocopy machine ambayo ni used, iliyo katika hali nzuri na bei nafuu kabisa. Kwa mwenye nayo au taarifa ya kuniwezesha kuipata tuwasiliane kupitia JF au +255 659 528 724. Natanguliza shukrani!
duda Senior Member Joined Mar 23, 2011 Posts 113 Reaction score 25 Aug 4, 2013 #2 bei nzuri ni ipi unayoitaka wewe? mcheck huyu kaka anazo zimeingia kama wiki tatu zilizopita 0655236074
bei nzuri ni ipi unayoitaka wewe? mcheck huyu kaka anazo zimeingia kama wiki tatu zilizopita 0655236074
said rashid JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 203 Reaction score 113 Aug 6, 2013 Thread starter #3 Ahsante sana ndugu yangu!