unajichagulia mshahara ndugu?!! eti 200000/=?!!!!!! Eti una kichwa chepesi??! eti una division one?!! Subir waje wale wenye first class za SAUT utawaona watakua wakali kweli
Habari members....
Natafuta kazi yeyote ya short time niwe nafanya kuanzia asubuhi mpaka saa 8 mchana. Eneo liwe Dsm.
Nina elimu ya form six, division one. Fluent in English and Swahili languages na mchangamfu. Hard working and creative. Kazi zote ninaweza kufanya nina kichwa chepesi cha kuelewa mambo nikielekezwa.
Kima cha chini mshahara iwe 200,000, kima cha juu utajua wewe muajiri mwenyewe kulingana na mchango wangu kwako.
Asanteni.
Muajiri au mwenye nafasi hiyo ya kazi ani PM kwa mawasiliano.
Siwezi kuweka number zangu public its not wise.
hmm! is this serious brother?Duuh! Et kima cha chini 200000. Kuna mshikaji degree anapiga full time na anakula 150000.
yaani watu humu kwa kujifanya wao ndio wanajua sana basi tu, sasa mlitaka aseme elfu hamsini? Asitaje division na wala wasifu wowote?
Kwa wale ndugu zetu wanaotafuta kazi.
Kuna hii android app, ina latest jobs in Tanzania.
Ingia playstore then search GRABJOB au tumia browser ya simu yako kufungua link hii https://play.google.com/store/apps/d...tyinfo.grabjob
Share na mwenzako.
Halafu mbona kupata hizo job descriptions inakuwa ngumu..why...
Acha uongo Hawa hawako timely we need current job listing sio hiyo link waongo Sana