kabla hujaiendea unahitaji
kuwa na ungo wa ft6 pf, rcva yenye uwezo wa kuedit biss keys. utatakiwa
kuelekeza dish lako magharibi( ingawa watu wengi hudhani kila sati
ikiandikwa east basi ungo lazima uelekee east. si mars zote) Ni rahisi
sana kuipata. kama ulishawahi kuweka amos5 yenyewe iko just juu
yake.