ligendayika JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,183 Reaction score 199 Jun 24, 2013 #1 Habari iliyotolewa leo na kamanda wa polis ruvuma kuwa tarehe 19 polis kwa kushirikiana na askari wa wanyama pori huko tunduru ktk kijiji cha majala wamekamata meno ya tembo 20.yaAni meno 40. Kaazi kwelikweli. Attachments DSC00146.jpeg 10.5 KB · Views: 151
Habari iliyotolewa leo na kamanda wa polis ruvuma kuwa tarehe 19 polis kwa kushirikiana na askari wa wanyama pori huko tunduru ktk kijiji cha majala wamekamata meno ya tembo 20.yaAni meno 40. Kaazi kwelikweli.
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,202 Reaction score 1,957 Jun 24, 2013 #2 Waambie wapeleke kwenye meli ya kinena ili yasafirishwa fasta.
S silongo capdivilla Member Joined Jan 19, 2013 Posts 89 Reaction score 21 Jun 24, 2013 #3 kinana ndio mpaka kanunua meli ya kusafrishia unafikiri utani mkuu
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jun 24, 2013 #4 KISHINDO said: Waambie wapeleke kwenye meli ya kinena ili yasafirishwa fasta. Click to expand... Umesema Meli ya nani?
KISHINDO said: Waambie wapeleke kwenye meli ya kinena ili yasafirishwa fasta. Click to expand... Umesema Meli ya nani?
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Jun 25, 2013 #5 bora hao wanaosafirisha meno tu na minofu wanaiacha, nawachukia sana wanaosarifisha twiga mzima mzima pale KIA.
bora hao wanaosafirisha meno tu na minofu wanaiacha, nawachukia sana wanaosarifisha twiga mzima mzima pale KIA.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Jun 25, 2013 #6 silongo capdivilla said: kinana ndio mpaka kanunua meli ya kusafrishia unafikiri utani mkuu Click to expand... Na baada ya miaka saba, kwa kasi hii ya Ukinana, tutakuwa hatuna tembo mbuga yoyote TZ cc Simiyu yetu Nape Nnauye Juliana Shonza
silongo capdivilla said: kinana ndio mpaka kanunua meli ya kusafrishia unafikiri utani mkuu Click to expand... Na baada ya miaka saba, kwa kasi hii ya Ukinana, tutakuwa hatuna tembo mbuga yoyote TZ cc Simiyu yetu Nape Nnauye Juliana Shonza