Naona tumekamilika kila idara....bado CHADEMA TV NA CHADEMA FM...sijui mambo haya lini Mungu wangu...I wish kama CHADEMA hatuna fedha kwa ajiil ya hili, tupitishe mchango....kama yule mama wa jana aliyekuwa anawahi kikao cha CHADEMA MWANZA alichngiwa 32,500 kwenye dala dala ya walalahoi kama mm, vipi tukisema tunachangia uanzishwaji wa CADEMA TV...viongozi wanaona ugumu gani??