Wizara ya Afya ya Tanzania ina Kitengo cha Telemedicine ,Kitengo kina Budget kila mwaka na kina Mkurugenzi wake(niliwai kuwa nae kwenye msafara wa kutembelea Telemedicine systems manufacturing Company moja huko kwa watu weupe)Pale Dar es salaam Institute of Technology upande wa Morogoro Road kuna Satelite Dish inayolink na India Supper Computer (for big scientific researches) na pia ina Port ya Telemedicine ambayo imelink na Telemedicine ya Serikali ya India yenye wataalam mbalimbali wa afya India yote. Kuna bahadhi ya Hospital private za hapa Tanzania zina Telemedicine system za kwao wenyewe private- niliwai Chukuliwa Vipimo Dar es salaam katika Hospital moja, then vipimo vilienda nje ya Tanzania na baada ya nusu saa ndo majibu yalitumwa kwa Email ndo nikaenda mwona Daktari na kupata tiba.Serikali yetu bado ipo chini sana kwenye hili na wangeokoa maisha ya watanzania wengi iwapo huduma hii ingekuwepo