Mshahara mkubwa unaupima vipi,maana kuna mmoja take home inaweza ikawa 2M then hapo hata akiugua anajitibisha na mwingine anapata 1.5 lakini yeye na familia yake wana AAR sasa wewe kwako hapo mshahara mkubwa ni upi.Ukishafafanua hapo then wadau wanaweza sasa kutiririka