Teknolojia itakuwaje miaka ishirini ijayo?

armi

Senior Member
Aug 11, 2014
140
26
Habari yetu wana jamvi (mughonile mwe bhakamu bhangu, twamasiku ming). Tusisumbukie lugha hiyo lugha niipendayo kinyakyusa nikijaribu kuwajulia hali.

Leo nimekuja na maada ningependa tuifanyie extraction za hatari sana.

Mpaka kufikia leo tumeweza kujionea teknolojia za kila aina na zingine zinatuzidi spidi tukitaka kwenda pamoja nazo
Mf. Iphone5, ipad. Ipod, macbook air, macbook pro, electronic cigarette, samsung gallaxy, sony z2, bugatte, umeme, internet, wireless services, whatsapp, bluetooth, whatsapp spy, super bluetooth hacker n.k.

Kwa teknolojia ya sasa nazan hata 1.2% ya vitu vyote cjavigusia. Swali ni hili hapa "kwa teknolojia zote unazozifaham sasa unazani baada ya miaka ishirini kutakua na teknolojia gani?"
 
Kukua kwa elimu ya teknolojia duniani kumefanya kuwepo na ushindani wa kiteknolojia katika nyanja mbalimbali. Wasomi wa mambo ya teknolojia ni wengi sana siku hizi tofauti na zamani. Fursa zimefunguka mno, hivi sasa mtu yeyote anaweza kuonesha ujuzi wake kirahisi kupitia sehemu nyingi, ikiwemo mtandaoni. Kwa hiyo lazima teknolojia itazidi kwenda na kasi ya ajabu kwa sababu wengi hujishughulisha na ubunifu wa vitu vya kila aina kwa nyakati tofauti na uzuri wake mtu ukifanya vyema dunia haiwezi kukutupa, utafaidi kulingana na jasho lako katika huo ubunifu. Binafsi nimependa kuona na kusikia habari kila leo teknolojia mpya imepatikana, hii inanipa faraja sana na ni dalili kwamba teknolojia haina mwisho.
 
hizo devices ulizoandika hapo za simu na laptops zote ungeziweka group moja tu na kuita mobile technology hizo softwares zote unge-group tu pamoja maana software ka whatsapp si kama inatumia system mpya ambayo miaka ya 2000 haikuwepo, programming languages ingawa zinazidi kua simplified ila ni ileile tu......

Miaka 20 ijayo mtu atakua hatoki ndani, kinachotoka ni robot yeye anakua home kavaa VR googles anajiona ka ye ndo lile robot anaanza kutembea barabarani kumbe mwili kauacha maskani... afu tutakua tushakanyaga mars.. na dunia itakua imepungua idadi kwa speed mno maana tunauana pia... au vita ya tatu ya dunia afu wakawepo watu ka bilioni mbili tu
 
kumeza kidonge chenye virutubisho muhimu ASUBUHI, MCHANA na JIONI(usiku) kila siku! Hakuna habari ya chai,ugali, wali,supu wala michuzi..
 
Daaaaah natamani nipae niende mpaka future nione utamu afu nirudi kuwahadithia
 
kumeza kidonge chenye virutubisho muhimu ASUBUHI, MCHANA na JIONI(usiku) kila siku! Hakuna habari ya chai,ugali, wali,supu wala michuzi..

Iyo itakua poa sana, hasa nikiiona jf na fb ya kinyakyusa, kununua msosi online, haaahaaahaaa imagination bwana raha sana
 
Shida ni kwamba, sisi Africa tumejiandaaje kukimbizana na hiyo tech??
 
Nilikuwa dubai nkaambiwa kuna TV unaongeza sauti na kubadili channel kwa kidole Yaani unaonyesha tu kidole TV inajibadili
 
Shida ni kwamba, sisi Africa tumejiandaaje kukimbizana na hiyo tech??
africa sasa hivi tunaenda step kwa step, itafika muda tukianza kukimbia tutakimbia kwa speed ya ajabu sana..
sasa hivi watu wanaanza kujitambua mdogo mdogo, ujinga ukipungua tutaanza kukimbia na sisi competition itafika miaka ya mbele tutakua tunajidai na sisi kampuni kubwa kubwa ka samsung tunasimamisha devices zinashindana dunia nzima... tupe miaka 20
 
Habari yetu wana jamvi (mughonile mwe bhakamu bhangu, twamasiku ming). Tusisumbukie lugha hiyo lugha niipendayo kinyakyusa nikijaribu kuwajulia hali.

Leo nimekuja na maada ningependa tuifanyie extraction za hatari sana.

Mpaka kufikia leo tumeweza kujionea teknolojia za kila aina na zingine zinatuzidi spidi tukitaka kwenda pamoja nazo
Mf. Iphone5, ipad. Ipod, macbook air, macbook pro, electronic cigarette, samsung gallaxy, sony z2, bugatte, umeme, internet, wireless services, whatsapp, bluetooth, whatsapp spy, super bluetooth hacker n.k.

Kwa teknolojia ya sasa nazan hata 1.2% ya vitu vyote cjavigusia. Swali ni hili hapa "kwa teknolojia zote unazozifaham sasa unazani baada ya miaka ishirini kutakua na teknolojia gani?"

Ndege zitakuwa hivi
 
Attachments

  • Future-aircraft-13.jpg
    Future-aircraft-13.jpg
    30 KB · Views: 71
africa sasa hivi tunaenda step kwa step, itafika muda tukianza kukimbia tutakimbia kwa speed ya ajabu sana..
sasa hivi watu wanaanza kujitambua mdogo mdogo, ujinga ukipungua tutaanza kukimbia na sisi competition itafika miaka ya mbele tutakua tunajidai na sisi kampuni kubwa kubwa ka samsung tunasimamisha devices zinashindana dunia nzima... tupe miaka 20

Labda waje ku-outsource huku ila hatuwafikii kabisa
 
Back
Top Bottom