TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
Mngejaribu hata pikipiki au hata baiskeli. Matokeo yake mnaleta stori zenye shombo tu. Disgusting!
 
Nawafahamu akina mwanambili poleni kwa msiba mzito mungu aiweke roho ya marehemu pahali pema.
 
Kaka yetu...Rafiki yetu...Mshauri wetu.Hatuna mengi ya kusema bali kukuombea nafsi yako huko ilipo nasi sote duniani ni mapito.Upumzike kwa amani
Pole nyingi kwa wanafamilia wa Mzee Mwanambilimbi.wadogo zako na wanao pia shemeji yetu
 
Picha basi na sisi tumjue mkuu
 
Teddy ni mwanaume??

Alikuwa anajihusisha na sanaa gani? Hapa watoto wengi
Bado sanaa yetu haijawekwa kwny kumbukumbu rasmi
Ni hakuna literature ya kutosha kuhusu sanaa na wasanii wetu

Kaka yetu...Rafiki yetu...Mshauri wetu.Hatuna mengi ya kusema bali kukuombea nafsi yako huko ilipo nasi sote duniani ni mapito.Upumzike kwa amani
Pole nyingi kwa wanafamilia wa Mzee Mwanambilimbi.wadogo zako na wanao pia shemeji yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…