TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu, subira na faraja wafiwa. Nawafahamu hawa kwa karibu.

Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena Bwana ametoa Bwana ametwa...Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un !
 
Mbona maelezo mkato sana?

Ungemtambulisha vema Marehemu maana haujaeleweka hapo.

Namfahamu Deo Mwanambilimbi, ingawa kwa sasa sijui amejichimbia wapi, ila huyo Teddy ndio namsikia leo..
 
Hebu tupe wasifu wake japo kidogo ili watu wapate kumjua.
 
Wanasiasa walisema wana inject Fund hawaoni Gari. Walitaka liwe commercialized mapema....as if una unda Trailler
Wangejua kuwa katika product research and development , kutoa product ikawa marketable inaweza kuchukua even 20 or more yrs! Kwenye pharmaceutical product development it can take even 50 yrs, kwamba hii sasa dawa itumike kwa binadamu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…