Rehemadick Member Joined Aug 11, 2017 Posts 8 Reaction score 2 Sep 11, 2017 #1 Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za pemben. Nini tatizo nisaidien wataalam Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za pemben. Nini tatizo nisaidien wataalam Sent using Jamii Forums mobile app
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,203 Reaction score 1,957 Sep 11, 2017 #2 Endelea kubonyeza hizo batani za pembeni.