TECNO Y3+: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2

TECNO Y3+: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2

expert2go

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
28
Reaction score
6
Habari zenu ndugu!
Ninashida ktk simu yangu, kwa kifupi imekufa baada ya kuflash na file ambalo liko chini ya uwezo wake, nina tecno y3 plus, nilichukua details zake kabla sija-flash, ila baada ya kuflash ndio nimegundua file nililoweka ni la zamani.

Nililoweka ni: Y3_PLUS-H721-A2-KK-TZ-TIGO-LOCK-20151107

Lililokuwepo ni: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2

sikutambua kuwa maelezo ya mwisho wa file ni mwaka, mwezi na tarehe ya file, nimegundua hilo baada ya kufanya utafiti zaidi, naomba msaada niweze kurudisha hilo file.

Hivyo wana-jamii-forum, naombeni msaada wenu niweze kupata file lake sahihi ama updated file.
 
Pole mkuu. Kabla ya kuflash shart u read hiyo firmware iliyo ndan ya simu na uhifadhi.

Ila nilifika home ntaangalia simu ya wife kama ni variant kama yako ili nikusaidie kucopy. Ikiwa siyo ujue imekula kwako.
 
a4ef6537dcbc59d53271b9136e579cb3.jpg

Lini unalitaka na upo wapi nikusaidie. Kama upo dar window pekee ya kukusaidia ni kesho, vinginevyo imekula kwako naku busy
 
hapana uwezi kumuacha ' ile kwake ', may be katingwa kakosa mda wa ku jibu
 
a4ef6537dcbc59d53271b9136e579cb3.jpg
GUYS AM VERY SORRY
a4ef6537dcbc59d53271b9136e579cb3.jpg

Lini unalitaka na upo wapi nikusaidie. Kama upo dar window pekee ya kukusaidia ni kesho, vinginevyo imekula kwako naku busy

Lini unalitaka na upo wapi nikusaidie. Kama upo dar window pekee ya kukusaidia ni kesho, vinginevyo imekula kwako naku busy[/QUOTE]
Labda kafanikiwa tayar.. Tumuache tu mana hakuna namna..

Habari zenu wanajamiiforum? nashukuru sana kwa kuonyesha ushirikiano wenu, ila samahani kwa kuchelewa kujibu hii post kwani mazingira niliyopo mtandao ni shida kwa kifupi niko nje ya Dar kwa sasa, ila najua inawezekana kutumiwa hiyo file la Y3+ kwa njia nyingi tu maana mitandao imerahisisha mambo.
Bwana Phil Tafadhari naomba hilo file!
 
a4ef6537dcbc59d53271b9136e579cb3.jpg
GUYS AM VERY SORRY

Lini unalitaka na upo wapi nikusaidie. Kama upo dar window pekee ya kukusaidia ni kesho, vinginevyo imekula kwako naku busy

Habari zenu wanajamiiforum? nashukuru sana kwa kuonyesha ushirikiano wenu, ila samahani kwa kuchelewa kujibu hii post kwani mazingira niliyopo mtandao ni shida kwa kifupi niko nje ya Dar kwa sasa, ila najua inawezekana kutumiwa hiyo file la Y3+ kwa njia nyingi tu maana mitandao imerahisisha mambo.
Bwana Phil Tafadhari naomba hilo file![/QUOTE]
nichek pm ninalo
 
una
nichek pm ninalo

Ungekuwa Dar au hata huko mikoani tafuta makao makuu ya tecno watakupigia software mpya boss[/QUOTE]
jua tanzania ni Dar kwingine maigizo kaka! pls kama una m2, ndugu jamaa mwenye simu kama hiyo tafadhari copy firmware initumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom