Tecno Y 6 inauzwa

jjmafulo

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
60
Reaction score
68
Haina shida yeyote ni nzimA na haijatumika muda sana
Laki moja na ishirini tyuuu

Kama unaitaka nicheki 0625563813
 
Haina shida yeyote ni nzimA na haijatumika muda sana
Laki moja na ishirini tyuuu

Kama unaitaka nicheki 0625563813
Jaribu pia kutafuta uzi upo humu wa wauza smartphone uzidi kujitangaza pia ingia na post ishu yako kupatana.

Lakini hivi huu mtindo wa kuandika 'tu' kama 'tyuuu' mbona umevuma hivi? Wewe ni wa nne kuna wenzako watatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…