Tecno W5 mpya bei ya kutupa

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Habari..
Simu ya tecno W5 ( sio W5 lite) inauzwa kwa laki 200,000/-. Imetumika kwa wiki 3 tu.
》sababu ya kuuza ni emergency tu imetokea..
》 Bei inaeza pungua.
》Sharti uwe mkazi wa mwanza maana ni mkono kwa mkono..

》ina Uwezo wa 4g na camera yake ni nzuri pia. Bila kusahau fingerprint..



Mawasiliano PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…