Hii simu nimeiflash kwa sp tools, baada ya kuflash tu imekuwa na Tatizo la Touch
Wakuu nawezaje kutatua hili kwani nishajaribu touch kadhaa mzima tatizo ni lile lile
hapana mkuu sifahamu but know;edge niliyonayo kuhusiana na simu nimeipata kwa kutengeneza simu zangu mwenyewe pale zinapoharibika plus kusaidia watu voluntarily pale wanapohitaji msaada