SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,718
[emoji1] njoo nikuuzie hii nikanunue nyingine mkuununua simu nyingine
How? Nifafanulie tafadhaliNenda kwa software tuu itasoma
Hapo ndio shida ilipo mkuu, hakuna option ya 3G , SIM 2 imesetiwa kusoma 2G pekee!nenda setting, nenda sehem imeandikwa simcards, fungua hapo ikifunguka nenda kwa chini utakuta sehem imeandikwa cellular data, fungua utakuta majina ya line zako, chagua kubadili mtandao itakaa sawa.
Tafuta fundi ataifunguaIla ukitumia internet ya airtel inakuwa na 3g
ukijarbu kuweka line nyingine wanakuambiaje?Hello,
Hii Tecno W3 SIM 1 ipo locked kwa ajili ya Airtel tu na inatumia 3G au 2G. Lakini SIM 2 unaweza kuweka line yoyote ila haitosoma zaidi ya 2G, ukienda katika SIM settings huwezi Ku switch iwe 3G, wamei lock isome 2G pekee.
naomba msaada namna ya kuiwezesha line ya pili kusoma 3G pia wakuu.
Thanks
Haisomi kabisa mkuuukijarbu kuweka line nyingine wanakuambiaje?