TECNO vs IPHONE nani kamuiga mwezie?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425

Toleo jipya la Simu Toka TECNO iliyoweza kuzinduliwa Mwezi June Mwaka huu ambapo ni TECNO spark 40 imekuja ikiwa na muonekano wa kipekee sana.

Ni Simu nzuri kwa vijana wanaokwenda na wakati unaweza kutumia fresh bila shida yoyote kwani iko very sleekness & fantastic style. Kubwa zaidi ni muonekano wake wa nyuma uko vizuri mno pamoja na kamera kwa ujumla iko poa ๐Ÿ“ธ.


Tecno spark 40:
โœ”๏ธ Processor ni MediaTek Helio G200
๐Ÿ“ธ Kamera 50mp
โšก Storage 128Gb Ufs 2.1 + Ram 4GB extended to 8GB
๐ŸŽ Android 15 with HIOS 15.1
๐Ÿ—ก๏ธ TECNO Ai
๐Ÿ”‹ Battery 5,200mah

Lakini ukiangalia muonekano wake wa nyuma ni kama IPHONE 17 Pro Max ambayo inatarajia kutoka mwezi Septemba mwaka huu lakini TECNO wao toleo jipya la TECNO SPARK 40 imeshaanza kupatikana madukani kuanzia mwezi huu wa Saba.


Sogeza picha kuona zaidi ๐Ÿ‘‹.

Je ni nani kamuiga mwezie TECNO AU IPHONE tuachie maoni yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ