Hello
Naomba kujua mrejesho kwa waliotumia au walionunua tecno spark 3
Maana kuna sehem nimesoma kuhusu spark 3 kuwa ile ya kawaida kwenye internet inasoma 3g na edge kwa pamoja haina option ya 3g only
Naomba kujua mrejesho kama ni kweli kutoka kwa watumiaji
Asante
Mi natumia spark 3 pro/+ IPO na 2G,3G & 4G(recommended), so ninajichagulia tu, ila kwenye 3G naikuta na edge inasoma kwa huku bush ila nikijaga town nainjoi mziki wa 4G