TECNO SPARK 2 NA NOKIA 2.1

Ongeza 30k uchukue spark 3 Pro+ ina RAM 2GB, ROM 32GB(internal) CPU 2.0Hz*4 na mengine mengi, toleo jipya Android 9versio utainjoi mkuu ni slim km iPhone hiv amazing
 
Simu ya cortex A7 hata ikija na ram 8gb ni bure tu.
 
Tecno simu?
Mara majina yajifute.
Mara simu ikatae kutoka.
Mara ijipige yenyewe ikiwa mfukoni. Yaani ni kero
 
Simu ya cortex A7 hata ikija na ram 8gb ni bure tu.
Hapo hata kama speed haitakuwa ya kuridhisha, lakini ni afadhali kuliko hiyo nokia 2.1. hiyo imempita nokia hata kwa camera na storage. nokia 2.1 ina betri na sauti/stereo speaker nzuri sana, tu lakini vitu vingine ni kawaida sana.
 
Hapo hata kama speed haitakuwa ya kuridhisha, lakini ni afadhali kuliko hiyo nokia 2.1. hiyo imempita nokia hata kwa camera na storage. nokia 2.1 ina betri na sauti/stereo speaker nzuri sana, tu lakini vitu vingine ni kawaida sana.
Sisemi kama hio Nokia ni simu nzuri ila compare hizo simu Nokia ni bora sijui mara ngapi. Snapdragon 425 inaipita mbali sana mt 6580.

Hio tecno pia gpu yake ni mali 400mp2, kwa haraka haraka tu galaxy s3 ya mwaka 2012 ilikuwa inakuja na mali 400mp4. Inamaana simu ya 2012 ina nguvu mara zaidi ya hiyo ya 2019.

Hizi ni baadhi ya benchmarks za sd 425 na mt6580



Hapo sd425 ina speed kama mara 3 ya hio mtk.

Na hio camera umeangalia megapixel au?
 
Nadhani hapo kuna kitu huja consider, nilisema spark 2 ya 2GB Ram ni bora kuliko Nokia 2.1 kwa aspect hizo speed (Kwa maana simu zote ni low-end) zote zina Android Go Edition ambayo ni special kwa simu zenye RAM ndogo (1GB). Na kama kawaida Android Apps ni RAM -Angry. Kuhusu camera spark 2 zote zimeipita nokia 2.1 saaaana kwa ubora wa picha sio megapixels.

Nimeitumia spark 2 pia sasa nipo na nokia 2.1 (Android pie , go edition).

Angalia sample ya picha za nokia 2.1 na hizo ni picha za mchana. Kwenye low light ndio mbaya kabisa.

Hii simu bila kuwa na SD CARD memory ya internal ni kimeo. Responsiveness pia imepitwa sana.

Yaani ukitumia hiyo spark 2 na hiyo nokia tofauti zake ni dhahiri kabisa wala huhitaji tofauti za kitaalamu.
 
Tecno washatoa spark 3 kimuonekano ipo vizuri ingawa sijawahi kutumia
 
Umefeli mbaya kwenye attachment
 
As i told you kwa hio soc hata uweke terabyte ya ram ni useless, itapitwa na sd425 yenye ram 1gb, na camera ni vyema ungeeka sample ya zote.

Hizo app zinazohitaji ram yote hiyo haziwezi kurun kwenye processor na gpu dhaifu kama hio.
 
Mkuu hapo nimekuelewa inamaana kama ni kuchagua moja kati ya spark 2 na Nokia 2.1 bora nichukue Nokia. Thanks kwa ufafanuz wa kitaalam. Nadhan kuna haja ya kutunisha pochi nichukue sim kali zaidi ambazo hazina usumbufu katika matumizi maana kiukweli sim inayosumbua katika matumiz hua inakupa mpaka stress muda mwingine.
 
Kifupi ni hivyo kuliko kujutia hela yako bora utafute hata Galaxy A10 utaipata hata kwa 350000 hadi 320000. Kuisifia hiyo nokia juu ya hiyo tecno sio kabisa.
 
As i told you kwa hio soc hata uweke terabyte ya ram ni useless, itapitwa na sd425 yenye ram 1gb, na camera ni vyema ungeeka sample ya zote.

Hizo app zinazohitaji ram yote hiyo haziwezi kurun kwenye processor na gpu dhaifu kama hio.
Hapo angetokea mtu akaweka hata Selfie ya Spark 2. Tofauti yake hata asiyeelewa camera ataiona. Ni kwa vile siwezi kuweka picha nilizopiga watu hapo kwenye mitandao.

Hii nokia hata kwenye camera bado imepitwa sana na ya lumia 535 naweza kuifananisha na camera ya lumia 435 . AF yake ni dhaifu sana na kwa performamnce ya processor yake inachelewa kurespond hata ukifocus , hapo simu hata haijajaa apps.
 
Mkuu kwa budget ya 200k mpaka 300k redmi 7 inamake sense zaidi.

Snapdragon 632 ni soc nzuri sana inakaa kwenye simu hadi za laki 4 mpaka 6.
 
Kwa bei unapata simu kali kuliko zote hizo
Meizu M8 4gb Ram 64gb ram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…