Simu tajwa inauzwa bei maelewano (PM), Ni line mbili bila kuzikata, ina miezi kama 4 tangu inunuliwe, black colour, ina vitu vyake vyote na sababu ya kuuza nimepata nyingine phatoomZ.

Ndugu kama unauza mali yako halisi, sioni Baja ya kusema kwanini unauza.issue kwamba ni yako na umeamua kuiuza. Kazi inayobaki ni ya mnunuzi kujiridhisha kama ni halali na ni halisi.