ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Jul 21, 2016 #1 imekufa Main Board, haiwezi kuchaji na hata ukichajia battery nje, ina OverHeat na battery inaisha ndani ya dakika 10. Sasa deal hapa niuze kama spare parts au uniuzie board nzima ya android 4.2. kama upo Arusha Board yake yenye matatizo ni hii hapa. Attachments WP_20160721_14_54_10_Pro.jpg 111.3 KB · Views: 68
imekufa Main Board, haiwezi kuchaji na hata ukichajia battery nje, ina OverHeat na battery inaisha ndani ya dakika 10. Sasa deal hapa niuze kama spare parts au uniuzie board nzima ya android 4.2. kama upo Arusha Board yake yenye matatizo ni hii hapa.
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Jul 21, 2016 #2 Uza kama spare mchina ni mchina tu