Tecno p3 insuffient storage available

Tecno p3 insuffient storage available

MRAU

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
154
Reaction score
231
Tafadhalini Msaada wa hili tatizo,ninapojaribu kuupdate whatsapp na fb inatokea insuffient storage available. nini tatizo?
 
Unachotakiwa kufanya ni ku uninstall all apps alafu uanze kuingiza upya ukianzia na hizo whatsapp na fb maana ni wazi ndizo zinachukua nafasi kubwa.

You just uninstall all your apps and install again.

Uninstall will help your device to get sufficient memory to keep whatsapp and facebook apps.
 
Hilo tatizo mimi pia linanisumbua sana.haraf sjadownloas chochote et low storage space.
 
Dah! embu waje watusaidie maana na mie inanifanyia hivyo mpaka ni delete baadhi ya programs ndipo ni update wakat huohuo sd card inakuwa na nafasi yakutosha kabisa ila kuizihamisha programs kwenda kwenye sd card ndo shughuri....
 
Wazee,
mchina ni mchina tuuu.. hata aitwe tecno au takano'nino.. bdo mchina tu..
cha msingi iconect kwny pc uchek actual space na kilichoandikwa.. from there utajua km kweli ni full au lah!
 
Daa kweli hili ni tatizo kwa wote hasa tunaotumia p3 bt kuhamisha program ndo mziki mnene tusaidien jamani
 
Fanya rooting itakuwezesha ku install app kwenye memory card,
 
Tafadhalini Msaada wa hili tatizo,ninapojaribu kuupdate whatsapp na fb inatokea insuffient storage available. nini tatizo?

My be we una install kwenye internal memory hebu change mahali pa kuinstall app
 
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good
 
Thanks kwa kushauri, swali je ukisha install, hiyo application ina clean yenyewe au unatakiwa. ufanyeje?
 
nami natumia p3 tatizo hilo limenitokea last week,nilichofanya nilirestore factor seting then nikaanza 1. cha kwanza kuinstall ni ant virus mkuu zingine zifuate.kwa sasa naifurahia p3 yangu kama kawa.kitu android bei nafuu
 
Baadhi ya wadau wametoa maoni yao,ntajaribu kuyafanyi kazi nione itakuaje.asanteni.
 
Thanks kwa kushauri, swali je ukisha install, hiyo application ina clean yenyewe au unatakiwa. ufanyeje?

Unatakiwa wewe ndio uicommand kama either unafuta au kumove apps from one storage to another. It is very easy to use after installing it
 
Unachotakiwa kufanya ni ku uninstall all apps alafu uanze kuingiza upya ukianzia na hizo whatsapp na fb maana ni wazi ndizo zinachukua nafasi kubwa.

You just uninstall all your apps and install again.

Uninstall will help your device to get sufficient memory to keep whatsapp and facebook apps.

Mkuu nina the same problem,mimi nina Samsung Galax GT S6102, lakini inaniletea hiyo message, wakati kwenye memory card ya 2GB imetumika tu 96MB, sasa je inawezekana kuzi downloads hizi apps kwenye memory card? Pili ni lazima ung'oe apps zote na uinstall upya? haiwezekani kutoa chache na kuzirudishia? Yaani mimi nimeng'oa whatsapp (baada ya memory kujaa) then baada ya mwezi nikatoa Facebook... [h=1][/h]
 
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good

Prince eleza kwa kirefu wengine sio wataalamu. C cleaner ni nini, play store?
 
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good

Ok, hiyo inayoitwa C-cleaner ukisha install, ukienda kwenye Manage Application utakuta uwezekano wa kucopy kutoka Internal Storage to sd card, lakini cha ajabu inakataa, wakati internal storage iko na nafasi ya kutosha. Tukubali tu hapa jamaa waliotengeneza smartphone wametutega, mara nyingi sd card zinakubali hadi angalau mb 300 tu. Natumia sony xperia na Huawei Ascend zote ukiweka program zenye nafasi kubwa kama fb, yahoo na nyingine inakuja alama ya disk. Hapa wametutega wandugu
 
Hili nalo neno. Nakubaliana na usemacho.
 
Tafadhalini Msaada wa hili tatizo,ninapojaribu kuupdate whatsapp na fb inatokea insuffient storage available. nini tatizo?

UCANGAIKE NENDA KWENYE SETTING INGIA KWENYE MEMORY ICOMAND CM ISAVE KWENY MEMERY CARD.iyo P3 inayo 8GB ambazo kwa matumizi ya application aziwezi kujaa kiinyo labda kama umejaza move na taarabu kibao.nawakakilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom