Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ก Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฐ๐ฌ ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฒ๐ wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
๐ธ Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya ๐๐๐ซ๐ข๐ฌ๐๐จ๐ฉ๐ ๐๐๐ฅ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐๐ซ๐ iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo. Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
๐ญ Inaweza ๐ธ๐๐๐ผ๐ผ๐บ ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ๐, ila kubwa zaidi ni kuhusu Kamera zake inatoa picha kali kwa upande wa picha za kawaida na video haswa zile za Outdoor ikiwa na mwangaza Bora kabisa.
๐ธ Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic ๐ฅ๐ฅ, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.
Kwa msaada zaidi Tembelea @tecnomobiletz Instagram na @bongotech255