Tecno M3

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
Wadau,

Ninahitaji simu tajwa kwa tsh.50,000/-. Kama inawezekana nipo Morogoro.
 
ninayo na naiuza ila sio kwa ela hiyo

imetumika wiki tatu tu inaenda kwa 100k
if interested njoo whatsap 0714547830
 
Nami nije nini? Lakini sio kwa biashara. 😀
 
ninayo na naiuza ila sio kwa ela hiyo

imetumika wiki tatu tu inaenda kwa 100k
if interested njoo whatsap 0714547830

Biashara mchana. Weka picha yake hapo... specification na bei (ceilling price.)
Specificatin should base on camera px, storage, os version, processor
 
Biashara mchana. Weka picha yake hapo... specification na bei (ceilling price.)
Specificatin should base on camera px, storage, os version, processor

mkuu kuhusu specifications unaweza google pix hz hapa
 

Attachments

  • 1432207756906.jpg
    37 KB · Views: 122
  • 1432207775636.jpg
    31.9 KB · Views: 97
ninayo na naiuza ila sio kwa ela hiyo

imetumika wiki tatu tu inaenda kwa 100k
if interested njoo whatsap 0714547830

nikifika 100k ntaongeza ten nichukue tu dukani but kwa sasa nahitaji kwa price hiyo naweza kuongeza kidogo ila sio kima hicho.
Nashukuru!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…