TECNO kukiwasha kwenye mashindano ya AFCON 2025

TECNO kukiwasha kwenye mashindano ya AFCON 2025

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250610_082122_0000.png

Kampuni ya TECNO inayotoa matoleo mbalimbali ya simu za kisasa smartphone, imetangaza kuimarisha Uhusiano wake na shirikisho la Soka (CAF) kwa kuwa mshirika Rasmi wa kimataifa wa TotalEnergies CAF itayofanyika Morocco pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania kwa Mwaka 2025 na 2027.

2_20250610_082122_0001.png

TECNO ilikuwa mdhamini wa kipekee wa simu za kisasa kwa mashindano ya CAF mwaka 2023, sasa yamerudi Tena kwa mwaka huu 2025.

3_20250610_082122_0002.png

Makamu wa Rais wa Transsion Holdings , Benjamin Jiang alisema " ushirikiano huu mpya ni uthibitisho wa uaminifu mkubwa na mafanikio ambayo TECNO wamejenga na CAF. Kupitia Ushirikiano wao wa awali uliweza kuonyesha jinsi mapinduzi ya Teknolojia zinavyoendeshwa na AI yanaunganisha mamilioni ya watu barani Afrika.

Ushirikiano baina ya TECNO na CAF ni hatua muhimu katika Maendeleo ya soka na teknolojia.

 
Back
Top Bottom