Muda si mrefu nitaanzisha blog itakuwa bure for everything. Software, tool n.k itakuwa center ya watu kujifunza ufundi, simu, pc na modem. Hizo firmware na tools mnazouza zitakuwa bureeeeee kbsa. Ni mtu na bundle lake tu.
Ngozi nyeusi NCK box CRACK, splash tool au Avangers box crack ambayo haijaicrack anauza wakati yy kadownload buree. Ukitaka maarifa search in English. You will get what you want.