Tecno J7 inauzwa 130,000/=

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,781
14,412
a55613d301d17cd159a1b1ee48b554bb.jpg
IMG_20170214_134859.jpg

Iko kwenye hali nzuri.

For more info check via 0676475414
 
Haya toa bei ya kuuzia kama ilivyo desturi yetu ili uuze mzigo, hiyo uliotaja awali inabana
Bei iko hapo juu ni tshs 130,000/= mkuu .

Simu iko kwenye hali nzuri na colour yake ni magnificent.

Karibu ndugu!
 
Tatizo tunaweza kuwa waungwana ila wewe ukatuuzia kisicho cha uungwana. Sasa weka picha zote na useme kwanini unaiuza ili tumalize sasa hivi mkuu.
Naiuza sababu nimenunua nyingine ambayo ni latest zaidi ya hii hapa. Wengine sisi ni "chizi simu" ukitoka simu mpya hima tunadaka na kuendelea na maisha.

Siwezi kupandisha simu zaidi hii application inasumbua hapo nimejitahidi saana.

Karibu mkuu!

1c002e8d143022dcd6570fdfd7d11258.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom