Tecno h6 original battery

pharaoh_2

Senior Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
143
Reaction score
123
Salaam wana jamvi..

Ni hivi nimeangusha battery ya simu tajwa kwenye gari, nilikua naomba kujua kama naweza kupata battery original za Tecno H6 Madukani

Msaada Tafadhari..
 
Habari JF Members..

Nimepoteza Battery ya Techo H6 Nilikua naomba kujuzwa wapi naweza pata original battery ya H6 nimejaribu kutafuta huku nilipo bila mafanikio au hata kama kuna smartphone yoyote ina muingiliano na battery ya H6 Nitashukuru nikifahamishwa hilo..

Msaada Tafadhali.
 

mtafute huyu jamaa Munawar
 
Last edited by a moderator:
naomba kuuliza et battery ya tecno l6 inaweza kuingia kwenye tecno j7
 
Sehemu nyingine utapata fake nenda kwa mawakala tecno wako posta karibu na chuo cha IFM utapata battery original
 
Sehemu nyingine utapata fake nenda kwa mawakala tecno wako posta karibu na chuo cha IFM utapata battery original

okey shukrani mkuu hivi hawa mawakala si wanapatikana nchi nzima au ni dar es salaam peke ake? niko morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…