Tecno H6 inaninyima usingizi

wandugu nimenuua tecno H6 wiki mbili zimepita sasa tangu jana audio imekufa na sijui chanzo wala solution/ ufumbuzi, mwenye uewelewa na hili tatizo.

Mnaambiwa kila siku kuhusu tecno ila hamskii...
thread kubao humu ni za tecno..
tafteni brand zenye technical support kubwa..
 
Kuliko kuangaika na hizo tecno si bora mnunue tu brand ingine?? Hata huawei mbna zimekaa poa tu hazina matatizo ya ajabu ajabu
 

Kwani hili unalijua leo mkuuu aaaahahahaha ...

Mi nilijua UNAJUA kumbe mpaka unanunua Bado UNADHANI wametumia cheap material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…