Tecno H6 inaninyima usingizi

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,943
Reaction score
1,059
wandugu nimenuua tecno H6 wiki mbili zimepita sasa tangu jana audio imekufa na sijui chanzo wala solution/ ufumbuzi, mwenye uewelewa na hili tatizo.
 
carlcare IPO kwa ajili yako nenda kariakoo kituo cha msimbazi watalitatua tatizo lako
 
asante kwa ishauri je hakuna settings zozote ambazo naweza zifanya mimi mwenyewe bila kwenda carlcare?
 
Carl care wahuni tu hawana lolote,mi nlinunua Tecno H6 kama miez miwili,wakanambia ina waranty mwaka,hata wiki haijaisha button ya kuzimia na kuwashia ikachomoka.Nikawapelekea wakanambia eti simu bado mpya hawana spea so hawana cha kunisaidia!!Labda nenda tu kajaribu.Ila nlikoma,hzi simu kweli zina specs nzuri lakini nadhan wanatumia material cheap ambayo sio imara.
 
mh matumuz yenu yakoje au kuna feki zake mm naona hazina ttzo au ni mm ndo cjapata ttzo nn?
 
nenda setting click,then tafuta restore setting click,ithink kuna pssw,tia 1Mpaka 4 au tano ok.
 
Nyingi zinaharibika mapema,mi nna watu wawil nawafaham nao zimewasumbua.Ila kila mtu ana tatzo lake.Ss hata kwa statistics za haraka haraka hii sio kawaida,simaanish nyingine haziharibik,znaharibika lakin sio kwa frequency hii,na sio kwa muda mfupi hvy
 
Ss we wiki moja utamaccuse mtu ana matumiz mabaya simu bado mpya kbs hela bado inauma inamaana atakuwa aanaiburuza chini au!!?
 
Ebu kuwa muwazi kuna mda mnaplug izo simu kwenye subwoofer pale kwenye port ya audio sound au earphone nalo ni moja ya tatizo
 
Lakini simu nyingine zinaplagiwa vile vile na haiwi sababu ya kuharibika mapema....
 
tecno cio cim, mzgo huawei y530 bei the same na tecno h6 ila inafunction fresh, spec za tecno h6 zko fresh ila sim cyo imara developers waliifanya iwe nyepes kiuzto kwa kuweka vfaa simple simple, kisim chepes bt vulnerable
 
munasema tu!tecno na huawei y530 huwez fananisha hta kwa spec.
 
Muwe mnasema na bei zake ili na sisi tukitaka kununua tujue tunaanzia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…