nina simu aina ya tecno h5 tatizo lake ni DATA CONNECTION ukizima huwa inajiwasha yenyewe . ukiweka off ndani sikunde kadhaha itakuwa/ on naombeni msaada wa kuzima data
Huenda kuna app yenye permission ya kuwasha data automatically. Nenda Settings > Apps > Manage Apps. Kwenye running tab angalia hizo apps kama unazitambua na angalia permissions zake kwenye app info