Habar wana Jf,natumai mu wazima napenda kuwa taarifu kwamba,nauza sim Tecno H5 ipo katika hali nzur(moja) napatikana Moshi(itakufikia mahal popote),samahan sijaweka picha kwasaab ya harakaharaka nitaiweka baadae pamoja na bei yake,Shukran sana wana Jf.
Tupo pamoja Tanzania nchi yetu