Ndo ukwel or uliza vzr wanaojua cm c8 camera nyuma megpxl 13 mbele megpxl 5 wakat c7 ina 13 kwa zote yan nyum na mbele, c8 RAM ni 1gb...wakat c7 ni 2 gb afu bado tubishane ndugu yangu ila km uwezo ni ukubwa utakua sawa mana ilichozid c8 ni ukubwa tuu zaid ya hapo haina cha kuizid c7 zaid imezidiwa.