cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 #1 Ipo katika hali nzuri ,ina mwaka mmoja toka inunuliwe haina tatzo lolote ,ninauza sababu nina tatzo na hela kidogo ,simu ipo dodoma kwa mawasiliano tuma sms kwenye 0692477837
Ipo katika hali nzuri ,ina mwaka mmoja toka inunuliwe haina tatzo lolote ,ninauza sababu nina tatzo na hela kidogo ,simu ipo dodoma kwa mawasiliano tuma sms kwenye 0692477837
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Oct 26, 2017 #3 Iphone 7
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #4 kuntu kumu said: sawa Click to expand... Sawa biashara ifanyike
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #5 omarion5 said: Iphone 7 Click to expand... Unauza iphone 7
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,496 Oct 26, 2017 #6 mbona imevunjika hapo chin?
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #7 radicals said: mbona imevunjika hapo chin? Click to expand... Hiyo iliyovunjika ni protector ya nje ambayo ni glass ,,
radicals said: mbona imevunjika hapo chin? Click to expand... Hiyo iliyovunjika ni protector ya nje ambayo ni glass ,,
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,696 Oct 26, 2017 #8 Kula 80000 npo dar
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #9 Chupayamaji said: Kula 80000 npo dar Click to expand... Upo chini sanaaa
A Arnold Julius New Member Joined Oct 26, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Oct 26, 2017 #10 Nina 120 vip
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #11 Arnold Julius said: Nina 120 vip Click to expand... Mwisho ni 150000 kaka
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #12 Arnold Julius said: Nina 120 vip Click to expand... Mwisho ni 150000 kaka
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,096 Oct 26, 2017 #13 cecil dom said: Mwisho ni 150000 kaka Click to expand... 130 ipo.... Upo maeneo gani?!
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #14 Interest said: 130 ipo.... Upo maeneo gani?! Click to expand... Nipo town dom
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #15 cecil dom said: Nipo town dom Click to expand... Wewe upo wap
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,096 Oct 26, 2017 #16 cecil dom said: Wewe upo wap Click to expand... Dom mbali sana. Nilidhani upo Bongo Daslam!
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #17 Interest said: Dom mbali sana. Nilidhani upo Bongo Daslam! Click to expand... Ahaa mbona nimeandika juu simu ipo dom
Interest said: Dom mbali sana. Nilidhani upo Bongo Daslam! Click to expand... Ahaa mbona nimeandika juu simu ipo dom
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Oct 26, 2017 #18 afadhari wewe umeweka picha za kutosha, kila la kheri mkuu mteja atapatikana
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,096 Oct 26, 2017 #19 cecil dom said: Ahaa mbona nimeandika juu simu ipo dom Click to expand... Samahani mkuu nilisoma kwa papara sikuona..
cecil dom said: Ahaa mbona nimeandika juu simu ipo dom Click to expand... Samahani mkuu nilisoma kwa papara sikuona..
cecil dom Member Joined May 4, 2017 Posts 47 Reaction score 11 Oct 26, 2017 Thread starter #20 Planett said: afadhari wewe umeweka picha za kutosha, kila la kheri mkuu mteja atapatikana Click to expand... Poa poa sijui planet bongo au planet gan
Planett said: afadhari wewe umeweka picha za kutosha, kila la kheri mkuu mteja atapatikana Click to expand... Poa poa sijui planet bongo au planet gan