Tecno c11

ndiyo malalamiko ya wengi kwenye page yao insta wanavyodai hivyo
Ni kweli mkuu,Jamaa ni Wa ajabu kweli nmeona kwenye page watu wanavyolalamika wengi walioenda wameambiwa watoe kati ya laki350-laki4.....wakati hiyo Simu c11 inauzwa laki3 na 90 hadi laki4
 
ndo hapo sasa
 
Tecno mtaisoma namba karibuni oppo ulimwengu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ