Mkuu mbona Mimi natumia Tecno zipo poa tu au unatumia model za zamani sana nini?badili jaribu zile kubwa kubwa ziko fresh 4G,camera 13mpl,flash nyuma na mbele,kioo kikubwa na HD.......mawazo yangu tu hayo!
wabongo kwa mapenzi siwawezi yaani mnavyowapenda sumsang ,htc, nokia, sijui na kina nani basi mnataka na ss tuwapende hao hao kila mtu ana mapenzi yake bana