Habari wana kilimo.Nimekuwa nikisia habari ya kilimo kwa kutumia Technolojia ya Hydroponics ambayo mkulima haitaji kuwa na Ardhi ili aweze kulima, anachohitaji ni kuwa na hiyo system ya hydoponics.
Kilimo hichi unaweza kulima mbogamboga na matunda pasipo kutumia udogo.
Naombeni wenye uelewa kuhusu kilimo hiki wanisaidie tafadhali.wapi naweza pata wataalam wa hichi kilimo?
na pia capital ya kuanzia kufanya hichi kilimo.
Asanteni.
Ni kilimo simple ila ni complicated sana binafsi ninautalaamu wa kufunga hizi system,sifa kubwa ya kilimo hiki ni kucontrol ukubwa wa tunda au majani mfano chainizi,nyanya,ila hutaweza kilimo hiki utakata tamaa