technology

technology

Joined
May 17, 2011
Posts
12
Reaction score
0
its true that by the use of technolog(information technology and information system ) tunawe kufanikisha mambo mengi kweli na kuweza kubalance mda pamoja na fedha kwa ajili ya matumizi mengine kwa jamii zetu na tanzania kwa ujumla, kwa iyo ni vyema tukawekeza sana ktk technologia ili tuweze kukithi mambo mengi yanayotukabili. ITS MY OPINION NA WEWE UNASEMAJE?
 
Ni kweli mkuu lakini ingekuwa vizuri utoe atleats one specific example kutumia teknolojia ipi

  • tunaweza kufanikisha kitu gani
  • Tunaweza kuondoa au kupunguza kero gani
 
Nakuunga hoja mkono,ale xample tupo on line!
 
Hii iko wazi kabisa kwamba tekinolojia ina faida mfano kuweza:

1. kusajili kampuni mtandaoni
2. kulipa bili mtandaoni
3. kufanya sensa mtandaoni
4. kupiga kura mtandaoni
5. Kununua bidhaa

Haya yote kama yakifanikishwa yanaokoa muda na kupunguza gharama pia huondoa misongamano mijini kwasababu watu hawahitaji kwenda mbali kufanikisha matakwa yao.
 
Tuongee habari za Techlogia wakati umeme ni hadithi?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom