Technology gani unaisubiri kwa hamu next year ?

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Wapenzi wa technology, kila mwaka things get better kuliko mwaka uliopita, tupia tech gani unayoisubiri sana kwa hamu mwakani.. Mimi list yangu

1. Oculus Rift CV1.. Hii iko namba moja maksudi kabisa, i think it will change the world, VR ndo itakua the most addictive platform ever to be made by mankind..

2. Intel 14nm architecture processors, wameipa name Broadwell (5th gen) na nasikia Q2 wamepanga kurelease skylake (6th gen) ajabu kwa nini this time 5th gen itadumu miezi michache sana..

3. Kuna hii inaitwa magic leap, am not sure though kama itakua imekamilika by next year, hii ni kwa ajili ya Argumented reality.

4. Galaxy note 4 na Gear VR2... hii ndo hua product line nayoifuatilia sanasana kwenye upande wa simu...

5. GPUs mpya from both NVIDIa na AMD, pretty sure mwakani watakuja na cards zinazoweza kuhandle Ultra settings at 4K resolution katika at least 60fps..
 
mimi napenda hizi kampuni zikitoa vitu ambavyo ni suprise, vitu visivyoexist dunia hii ningependa kuona vitu hivi

1.kitu chochote cha graphene kwenye simu/pc, hasa hasa sensor za camera na processor

2.pia naisubiria broadwell na htpc zake ndogo

3.naisubiria pia cherry trail, huwenda 2015 tukaanza kurun os za computer kwenye visimu vyetu kupitia hii chip
 
Hologram interactive with virtual reality.

This, once perfected there will be no more screens, you can watch your favorite programs in a thin air.
 
mkuu ntapata wapi iyo kitu oculus rift????

Hiyo sasa hivi kuna Development Kit peke yake ambayo ni kwa wanaotengeneza software, ambayo itatoka kwa ajili ya consumers wa kawaida kununua hadi mwakani, hopefully quarter ya kwanza ya 2015
 
HTC ONE M9 (HIMA).. HTC is finally droping the ultrapixel... The thick black besels must go tooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…