Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 May 22, 2014 #1 kila siku teknologia inazidi kukua.je kuna mahali naweza pata kujua ni teknologia gani zipo juu kwa sasa mf. teknologia ya kufungua baadhi ya apps katika simu kwa kupepesa macho tu.hii ipo ktk samsung galaxy s4 kama sikosei
kila siku teknologia inazidi kukua.je kuna mahali naweza pata kujua ni teknologia gani zipo juu kwa sasa mf. teknologia ya kufungua baadhi ya apps katika simu kwa kupepesa macho tu.hii ipo ktk samsung galaxy s4 kama sikosei
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 May 22, 2014 #2 Haiwezekani pakawepo na universally acceptable benchmark for teknolojia bora. Hapo umetoa mfano wa simu tu, lakini teknolojia ni pana zaidi ya hapo.
Haiwezekani pakawepo na universally acceptable benchmark for teknolojia bora. Hapo umetoa mfano wa simu tu, lakini teknolojia ni pana zaidi ya hapo.