Jamani Naomba kuuliza,,
Kuna mtu Aliniambia anaunganisha bundles za Mtandao fulani,,Nikamtumia pesa ili aniunge badala yake akakimbia mazima,,Namba yake naiona iko active WhatsApp na hata kawaida anapatikana,,Je Nawezaje kumfatilia na kutambua Alipo????
Mh! Mkuu sorry huyo mtu namba yake inaishia 23..???
Kama inaishia hivyo tutumie demokrasia tu achana na maswala ya mizimu haya Mambo yanazungumzika!,dunia tunapita tu...😣
Mh! Mkuu sorry huyo mtu namba yake inaishia 23..???
Kama inaishia hivyo tutumie demokrasia tu achana na maswala ya mizimu haya Mambo yanazungumzika!,dunia tunapita tu...