BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,777 Reaction score 6,269 Oct 27, 2019 #1 Wadau WA jukwaa,kuna manzi wangu kanunua hiyo bidhaa,sasa kaniletea nimuwekee line na kupakua mavitu, Nimeanza kuchemka,msaada kwa anaejua jinsi ya kuweka line. Natanguliza shukrani za dhati.
Wadau WA jukwaa,kuna manzi wangu kanunua hiyo bidhaa,sasa kaniletea nimuwekee line na kupakua mavitu, Nimeanza kuchemka,msaada kwa anaejua jinsi ya kuweka line. Natanguliza shukrani za dhati.
Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,782 Reaction score 2,611 Oct 28, 2019 #2 Picha ya hyo cm