Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
wadau nataka na mm nihamie android kidogo maana saiz natumia symbian 40 ya nokia n3 sasa nna kama laki 2 hv na ishirini nimewaza kati ya huawei y200 na techno n3 sasa msaada wako hapa kwa ushauri ipi nzuri zaidi au kama kunanyingine inapatikana kwa hyo bei bac tuchangiane mawazo natanguliza shukrani
Follow.............. Nimenunua Techno N3
Kuna htc wildfire hapa A510e nipe 150000, unapata kila charger, cable na earphone
Huo uchawi sina mkuu, ngoja wadau wa handset waje kukusaidia.asante kaka hv kama unaijua HTC a 1818 nambie ipo vp maana kunajamaa anataka kuniuzia kwa laki 2 na nusu vp ntakua nimeumia au?
Huo uchawi sina mkuu, ngoja wadau wa handset waje kukusaidia.
Mi nilianza na nokia namaliza nao
Its Lumia to be specific,ila ndugu android ndo habri sasaiv nokia c kiivo labda lumia series