Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Topic closed
Mkuu weka picha za simu halisi. Halafu je upo tayari kushuka bei mpaka fedha taslimu 180,000??Wakuu Techno Camon Cx Air iko sokoni;
Bei ni sh 240,000/= (Dukani ni 290,000/= na kuendelea).
Niko Dar.
Simu imenunuliwa jana tar 30 January, aliyetakiwa kuitumia kasema hawezi kutumia Techno.
- Screen Size: 5.5inch
- Back Camera: 13MP
- Front camera:13.0MP
- Storage: 16GB, RAM: 2GB
- Battery: 3200mAh
- 4G/LTE
So you can check me through PM or 0626645023.
![]()
Mimi offer ya mwisho nadhani ni 200,000 tu kwa kweli. Zaidi ya hapo hapanaMkuu hiyo simu imenunuliwa tar 30 Jan 2018, mlengwa kaikataa, you can just guess it's condition.
Less than 240,000 ni ngumu mzee, simu imenunuliwa kwa 300,000 jana. So kuna disc ya 60,000.
Iyo ni simu au takataka huoni aibu kutumia takataka iyo unaiita simu???Mkuu hiyo simu imenunuliwa tar 30 Jan 2018, mlengwa kaikataa, you can just guess it's condition.
Less than 240,000 ni ngumu mzee, simu imenunuliwa kwa 300,000 jana. So kuna disc ya 60,000.
Mimi offer ya mwisho nadhani ni 200,000 tu kwa kweli. Zaidi ya hapo hapana
😀😀😀😀😀😀😀😀We jamaa wewe.
Kumbe ndio maana...Iyo ni simu au takataka huoni aibu kutumia takataka iyo unaiita simu???