Techno Brain mishahara yao?

Techno Brain mishahara yao?

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
900
Jamani nimeitwa na hawa jamaa techno brain kwa ajili ya oral interview, vp mishahara yao, tupeane data jameni
 
Jamani nimeitwa na hawa jamaa techno brain kwa ajili ya oral interview, vp mishahara yao, tupeane data jameni

hongera mkuu..mishahara yao iko poa,mbona walisema ni next wk iweje waite mapema?
 
Umeitwa intavyuu kwa nafasi ipi?Mishahara haiulizwi kwenye social media kama hivi dogo...jithaminishe waambie bei yako.By the way ni wahindi hao so usitegemee makubwa.
 
hongera mkuu..mishahara yao iko poa,mbona walisema ni next wk iweje waite mapema?

mkuu mbona watu walishaitwa tayali kwenye interview tayali,tena walifanya mitihani kwa njia ya online unajibu maswali na jana jioni walipigiwa watu tena kwa ajili ya kuja jumatano kufanya interview ya practical na face to face interview... mishahara yao inategemea na kiwango cha nafasi kazi...na elimu yako ila kima cha chini ni laki sita tuu...
 
Tatizo ni wahindi ndo maana nauliza, huwa hawatoi nafasi ya wewe kujieleza
 
Back
Top Bottom