Technician wa ujenzi nahitaji kazi

Technician wa ujenzi nahitaji kazi

Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
511
Reaction score
808
Wakuu naombeni msaada wa kazi yeyote halali yenye kuingiza kipato mimi ni Civil technician, nimesoma diploma ya civil engineering nina experience ya miaka 5. Niko jobless toka mwaka jana mwenzi wa 4 kwa sasa napatikana Arusha mjini.

Kutokana na hali ya maisha nafanya kazi za vibarua viwandani hivyo naombeni msaada wa kaz yenye kipato chenye kuridhisha maana kiukweli nina familia inayonitegemea na kazi ya kibarua cha Shilingi elfu 6 au 5 kwa siku Kwa mm mwenye familia ni kiwango kidogo sana. Mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna moja au nyingine tafadhali.

Naimani hapa ni sehemu ya magreat thinkers na watu wenye mawazo chanya hivyo ntapata msaada mzur hata wa kimawazo.
 
Natafuta civil technicians wawili fresh from school who are very time keeping ambao wamemaliza DIT, Mbeya na kwingineko kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya site supervision then later on, l will employ them katika kampuni ya SONGOJO LIMITED (Building class 5 and Civil work class 6).
Kampuni ni changa so wazalendo wanahitajika ili tuweze kuipush ifikie Malengo.

Vigezo
  • Ajue kutumia computer na program za 3D drawings
  • Able to work under pressure.
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi day and night ikitokea kuna kazi.
  • Awe na referee kutoka kwa Eng.yeyote au lecturer kutoka chuo husika.

Kwa wahitaji watume CV zao kwenye email ya kampuni: songojo.limited@gmail.com

NB:Watu wenye speed ya kufanya kazi na maamuzi wanahitajika.

Mwisho wa kupokea maombi ni kesho ijumaa tr.05/03/2021 mchana saa 7:00

Imetolewa na
PEng.Kenedy Kilawa
Technical Director
Songojo limited
04.03.2021
 
Mkuu tafadhali mimi ni fundi ujenzi pia ni operator wa excavator tafadhali naomba nitumie hata niwe kibarua wako ili niweze kupata ujuzi nipi tayari kufanya kazi usiku na mchana sihitaji kiasi chochote cha pesa hadi pale utakapo weza kujilidhisha kuwa naweza kumudu majukumu fulani ya kazi.
NIPO TAYARI KUFIKA MAHARI POPOTE NA MDA WOWOTE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom